Ukizaa na mume wa mtu, mtoto ni wa kwako

ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.
umenifurahisha sana mkuu.
ulilala sitting rum kama week 3 hiv ......halaf ukasamehewa na kuambiwa urudi uwanjani.
hapo mkuu be careful sana sana sana sana.
Hahahahahaha....😀😀😀
 
Mim nilowahi kumrusha wife , kuwa nina mchepuko huko una ujauzito wangu ....wakati yeye hana hata mtoto ...alihangaika kubeba ujauzito ....ili mzani ubalance .....alikuwa mpole km piriton yaaani kaja kugundua sio nilikuwa namrusha akili imeshamkaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ni ngumu,ukisema umtunze kwa Siri mama mtoto haridhiki anahisi unampa matunzo kidogo anaamua aliweke wazi akiamini atapata kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo ndiyo kibwebwe kinapoanzia ila mm huwa naona mwanaume ni kuwa strong akisema ho mimi ninaenda kwetu ukimleta mwambie njia nueupe mama SEPA!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio rahisi kama unavyodhani, tunajitahidi ila tukishindwa basi jamaa atusamehe tu.
Yaani unaniambia hivyo kweli[emoji134][emoji134][emoji134]
Kwahiyo baby unanichepukia kumbe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Yaani unaniambia hivyo kweli[emoji134][emoji134][emoji134]
Kwahiyo baby unanichepukia kumbe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Si nimekuambia najitahidi nisichepuke mpenzi!!
 
Nimependa mwandiko wako, hongera sana, una uwezo mzuri wa kuelezea jambo.
 
Watoto ni watoto tu hakuna wa ndani wala nje,ni wewe baba msimamo wko ukiwa thabiti wataishi kwa maelewano bila ubaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzidi kuwa na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…