mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Sep 26, 2024 Thread starter #21 NGOSWE2 said: Kwa kuwa umesema si rasmi sawa. Binafsi nina watoto zaidi ya hao, kila mmoja anaufurahisha moyo wangu. Sijutii kuwa nao wengi. Click to expand... Wote wameshavunja ungo au kubalehe?
NGOSWE2 said: Kwa kuwa umesema si rasmi sawa. Binafsi nina watoto zaidi ya hao, kila mmoja anaufurahisha moyo wangu. Sijutii kuwa nao wengi. Click to expand... Wote wameshavunja ungo au kubalehe?
NGOSWE2 JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 1,323 Reaction score 1,608 Sep 26, 2024 #22 mdukuzi said: Wote wameshavunja ungo au kubalehe? Click to expand... N watu wazima sasa.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Sep 26, 2024 #23 Namba yeyote isiyogawika kwa mbili inashida Fanya mpango wagawike kwa mbili
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Sep 26, 2024 Thread starter #24 NGOSWE2 said: N watu wazima sasa. Click to expand... Hongera sana na mshukuru Mungu,familia nyingi zinateswa na mtu mmoja tu mpaja wanachanganyikiwa
NGOSWE2 said: N watu wazima sasa. Click to expand... Hongera sana na mshukuru Mungu,familia nyingi zinateswa na mtu mmoja tu mpaja wanachanganyikiwa
Archnemesis 2-0 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2024 Posts 815 Reaction score 1,558 Sep 26, 2024 #25 Kiranga said: Ukuzàa watoto kuanzia watano wewe mzazi mwenyewe ndiye pasua kichwa. Click to expand... Kwann Mkuu Elon Musk kafyatua 12 and counting. Ila utanijibu ss unajifananisha na Musk? 😁🙌 Ni preference mkuu kama me nataka team
Kiranga said: Ukuzàa watoto kuanzia watano wewe mzazi mwenyewe ndiye pasua kichwa. Click to expand... Kwann Mkuu Elon Musk kafyatua 12 and counting. Ila utanijibu ss unajifananisha na Musk? 😁🙌 Ni preference mkuu kama me nataka team
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Sep 26, 2024 #26 Archnemesis 2-0 said: Kwann Mkuu Elon Musk kafyatua 12 and counting. Ila utanijibu ss unajifananisha na Musk? 😁🙌 Ni preference mkuu kama me nataka team Click to expand... Wewe yule Elon Musk unamuona akili zake ziko sawa? Mpaka leo hujui kuwa Elon Musk ana matatizo ya akili?
Archnemesis 2-0 said: Kwann Mkuu Elon Musk kafyatua 12 and counting. Ila utanijibu ss unajifananisha na Musk? 😁🙌 Ni preference mkuu kama me nataka team Click to expand... Wewe yule Elon Musk unamuona akili zake ziko sawa? Mpaka leo hujui kuwa Elon Musk ana matatizo ya akili?
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Sep 26, 2024 #27 Hakuna uzao utakaokosa kaini🤣🤣 ukizaa mmoja basi ndio kaini mwenyewe huyo