Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
...mkjj, kutokana na mashairi yako kule kwenye ukumbi wa lugha, napelekeshwa na hisia kuamini kuwa, huyo aliyekumbwa na kibano ni mtu wako wa karibu sana, tena sana sana sana sana sana sana tu
Kweli kabisa huyu katudanganya nahisi kuwa yeye ndiye kazabwa hicho kibao!!!! LOL
ordering your meal doesn't prevent you from perusing the menu.............This is a good one,but you cant compare the two literaly, nyie waume ndio wenya hii tabia, and what i wd say kama unatembea na bibie basi, avoid straying your eyes huku na kule, give her utmost attention, make her feel that she is the only one 'u can see', macho yatangishe kama hampo pamoja, the apology is gd, yaitwa damage control.
but hicho kibao pia poa, kama ndiyo adabu yako!! ama mwasemaje!!!
Tatizo ni kuwa jamaa sasa kanyimwa hakuna cha msosi wala "nini" ati hadi amuombe "apology" ya Kiswahili...
Unatembea na mamsap kwenye Mall au mtaani na katika pitapita mnapishana na kigori ambaye ni 'fwine' kweli kweli. Umejaribu kujizuia kugeuza shingo lakini kutokana na udhaifu wako unageuza kufuatilia kama paka aliyemuona panya kwenye kingo ya jicho lake.. Unajaribu kurudisha kichwa mbele na unakutana na mamsap ambaye amefura na kabla hujasema lolote anakuzaba ZAAP!!! unaona nyota halafu anakuambia;
"kama unamtaka umfuate!" halafu huyo anaanza kuendelea....
what do you do next... ?
NB: Sijachapwa kibao namzungumzia jamaa yangu mmoja hivi (wink wink)