Mmmmh walimuuwa anko wangu hawaMIE nimetokea' KUWAELEWA' wanawake wa KICHAGA hasa WAMACHAME!
binafsi siku hizi NAWAELEWA SAAANAA
hhahahh 'mfe tu 'hakuna namnaMmmmh walimuuwa anko wangu hawa
Wew ni mchagga?[emoji23]hhahahh 'mfe tu 'hakuna namna
PURE SUKUMAWew ni mchagga?[emoji23]
haaa kwa jiwe huko...PURE SUKUMA
teh tehhaaa kwa jiwe huko...
Anyway wewe ni mtani wangu kwa upande wa pare
Nilivyoona huu uzi tu nikakuwazia Mkuu kumbe ushafika. Hongera zenu.
mchaga tupo wengi mkuu..tunajivunia kwa hiloNilivyoona huu uzi tu nikakuwazia Mkuu kumbe ushafika. Hongera zenu.
CC. MBIIRWA , General Mangi na Asprin.
Hahaaa. Usijali Mkuu.mchaga tupo wengi mkuu..tunajivunia kwa hilo
Nilivyoona huu uzi tu nikakuwazia Mkuu kumbe ushafika. Hongera zenu.
CC. MBIIRWA , General Mangi na Asprin.