Ukizaliwa mchaga ni raha sana

Ukizaliwa mchaga ni raha sana

Status
Not open for further replies.

uduzungwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
552
Reaction score
543
Aisee. Ni raha sana kuwa ni mzaliwa katika kabila la kichaga. Hata kama ni wa upande gani Kwa mf. Mrombo,mmchame,mmarangu n.k.

Ila nakuhakikishia ukizaliwa mchaga ni raha sana.

Naomba niseme kwamba Mie sio mchaga lakini
 
Kwa utafutaji huwa wanaume wako vizuri.
ila kwa wanawake hasa wamachame ukiowa elewa lazima wewe ndo utangulia kaburini.
alafu ukiwa waowa mchaga kuwa makin mana wanaktwaga na watoto nyumbani alafu wanalazimsha kusema ni shangazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom