Ukizaliwa mchaga ni raha sana

Status
Not open for further replies.
ogopa san machamez womane kama una rangerover na mjengo mkali mixer maduka ukienda kwao wanaweza kuambia mahari we leta hata kuku tu ili usimkose mtoto wao ila sikilizia kifuatacho
 
Raha ya kuolewa na mchaga. Atahangaika watoto Waende shule, mle, mlale kwenye nyumba bora n.k hata kama itamgharimu kukosa usingizi.
Asante kwa kutusifia, hata unywaji wa pombe hauathiri kabisa sisi kufanya maendeleo
 
Nathani inabidi tuwaheshimu Sana hili kabila. Kwamaana we angalia Tu kipindi cha Xmas angalia uchumi wa dar unavyoyumba. Wote wanakimbiliaga Moshi kwao.

Tumshaurini Tu bro hawa jamaa tukae nao vzr watufundishe njia za kuwa na maendeleo
 
Reactions: ywf
Mama manka simamia hiyo grocery nini nkasimamie jiko la kitimoto naona wananiibia tuu
 
Waambie wake zenu wawe romantic kitandani

Wawaaambie na wanaume nao wawe romantic kitandani. Nafahamu wanawake wa kichaga kibao wanalalamika wanaume zao wako busy kusaka hela hawana muda na kufanya kuchkuch. Wakichepuka mnalalamika
 
Naam, mimi sio wa kabila hili hata punje, but ninalihusudu sana hili kabila. Sababu ni mmoja napenda fighters!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…