Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Wacha kabisa.Niko fasta
Hamna kitu hapoWanawake wa kipare nawakubari kwa uzuri wa sura na umbo
TrueRaha ya kuolewa na mchaga. Atahangaika watoto Wapendwa shule, mke, mlale kwenye nyumba bora n.k hata kama itamgharimu kukosa usingizi.
Thanks kwa kutuelewa dearMIE nimetokea' KUWAELEWA' wanawake wa KICHAGA hasa WAMACHAME!
binafsi siku hizi NAWAELEWA SAAANAA
N Dede tee saa!Kweli kabisa mnama
Mkuu wahadzabe nao umewajumuisha kwenye utafiti wako?Watanzania wote sasa hivi tunajitahidi sana katika maendeleo kwa kweli!
Asante kwa kutusifia, hata unywaji wa pombe hauathiri kabisa sisi kufanya maendeleoRaha ya kuolewa na mchaga. Atahangaika watoto Waende shule, mle, mlale kwenye nyumba bora n.k hata kama itamgharimu kukosa usingizi.
I’m living it, hata safari ya familia mke anapiga pasi na kupanga mabegi nauli wala hufahamu.Asante kwa kutusifia, hata unywaji wa pombe hauathiri kabisa sisi kufanya maendeleo
Waambie wake zenu wawe romantic kitandani