Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Mbona wachaga maskini wapo kibao au nyie mnaishi Tanzania ipi? Hii third world hamna kabila limeipuka umaskini hata hivyo mna haki ya kuota.Raha ya kuolewa na mchaga. Atahangaika watoto Waende shule, mle, mlale kwenye nyumba bora n.k hata kama itamgharimu kukosa usingizi.
Kimario atakaa upande wa jiko la chipsi [emoji3][emoji3][emoji3]Mama manka simamia hiyo grocery nini nkasimamie jiko la kitimoto naona wananiibia tuu
ShimbonyiNajivunia kuwa mwanamke wa kichaga....
Pure Chagga babe.....
Umeniita mpenzi?Nilivyoona huu uzi tu nikakuwazia Mkuu kumbe ushafika. Hongera zenu.
CC. MBIIRWA , General Mangi na Asprin.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nilivyoona huu uzi tu nikakuwazia Mkuu kumbe ushafika. Hongera zenu.
CC. MBIIRWA , General Mangi na Asprin.
Masikini hata marekani wapo, tuna angalia % ya hao masikinMbona wachaga maskini wapo kibao au nyie mnaishi Tanzania ipi? Hii third world hamna kabila limeipuka umaskini hata hivyo mna haki ya kuota.
Hivi unafahamu Tanzania Ina makabila mangapi? Hizo percent unazo ongelea nihisia tu.Masikini hata marekani wapo, tuna angalia % ya hao masikin
Kida manka[emoji3][emoji3][emoji3]Najivunia kuwa mwanamke wa kichaga....
Pure Chagga babe.....
Kido.... Saa.... Kwifokuda?!?Kida manka[emoji3][emoji3][emoji3]
Nashicha Mbee...Shimbonyi
Endelea kutafuta besa kokote ulipo hapa hakuna jipyaWachaga tumekuja....kuna habari gani hapa
you luk ushaaa maaaaeNajivunia kuwa mwanamke wa kichaga....
Pure Chagga babe.....
Isiendelee vp mkuu?Nyie ndio mijinga mnafanya nchi isiendelee