Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Mbona wachaga maskini wapo kibao au nyie mnaishi Tanzania ipi? Hii third world hamna kabila limeipuka umaskini hata hivyo mna haki ya kuota.Raha ya kuolewa na mchaga. Atahangaika watoto Waende shule, mle, mlale kwenye nyumba bora n.k hata kama itamgharimu kukosa usingizi.