Ukizama online slots (casino), wanaobet mpira utawaonea huruma

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Siujui mpira vizuri na betting za mpira sizijui vizuri ila naona wanapigwa tu kila siku.

Mtu anachakazwa wiki tatu anapewa siku moja elfu 50 basi hiyo siku mpaka mkewe atajua kuwa baba kapiga pesa kumbe ni elfu 50 tu au laki. Ukipiga hesabu kapata negative kubwa ndani ya mwezi.

Online casino ukiijulia kushinda ni zaidi ya 50%. Sihubiri biashara ya mtu wala sihitaji pesa ya mtu hapa maana hamchelewi kuzusha kuwa nawalemgesha watu PM.

Nawafahamisha tu kuwa kuna mamilioni ya pesa kwenye casino za mtandaoni. Nina experience ya online casino kwa miaka 5 sasa. Nimewahi kuliwa mpaka milioni 2 kwa siku.

Nimewahi kuliwa mpaka mshahara wote, nimewahi kuliwa mpaka posho. Sasa nimekuwa master naingia online nachukua pesa kama nimeziweka mwenyewe.

Anayetaka akajifunze mwenyewe, Mimi sijafunzwa na mtu. Nimeshinda mpaka ist kutoka kwenye kampuni ya betting mwezi uliopita. Zero km. Nikitaja kampuni mtasema nawafanyia promo.
 
Sport betting unaamua kuweka mzigo kutokana na trend ya matokeo. Hizo nyingine za kubahatisha bila basis huwa siziamini kabisa
 
Bora nibeti mpira naona kabisa live penalty ya yanick Bangala ile inapaa, kuliko kucheza na maroboti ambayo yapo programmed
Yani Una cheza na robot lina leta majibu baada ya wewe kuweka chaguo lako afu utegemee liku tajilishe [emoji81][emoji81]
 
Siujui mpira vizuri na betting za mpira sizijui vizuri ila naona wanapigwa tu kila siku.

Mtu anachakazwa wiki tatu anapewa siku moja elfu 50 basi hiyo siku mpaka mkewe atajua kuwa baba kapiga pesa kumbe ni elfu 50 tu au laki. Ukipiga hesabu kapata negative kubwa ndani ya mwezi.

Online casino ukiijulia kushinda ni zaidi ya 50%. Sihubiri biashara ya mtu wala sihitaji pesa ya mtu hapa maana hamchelewi kuzusha kuwa nawalemgesha watu PM.

Nawafahamisha tu kuwa kuna mamilioni ya pesa kwenye casino za mtandaoni. Nina experience ya online casino kwa miaka 5 sasa. Nimewahi kuliwa mpaka milioni 2 kwa siku.

Nimewahi kuliwa mpaka mshahara wote, nimewahi kuliwa mpaka posho. Sasa nimekuwa master naingia online nachukua pesa kama nimeziweka mwenyewe.

Anayetaka akajifunze mwenyewe, Mimi sijafunzwa na mtu. Nimeshinda mpaka ist kutoka kwenye kampuni ya betting mwezi uliopita. Zero km. Nikitaja kampuni mtasema nawafanyia promo.
Mfundishe baba ako nae ale IST
 
Ukitaja kampuni tutasema unawafanyia promo? Hakuna watu wanapenda promo kama betting companies! Na uhakika wangekupa ist tena zero kilometers wangetangaza mpaka vijijini wangejua!! Betting companies wanapenda promo sana
 
We jamaa una hulka ya kichoyo na ubinafsi na majigambo yasiyo n msingi.

Umejitapa afu umekimbia uzi
 
Back
Top Bottom