Ukizawadiwa tunda kirahisi usile kwa mapepe

Umenikumbusha kuna denti alikuja kujilengesha kwangu , tulikuwa na mawasiliano ya kawaida tu lkn niliona staili ya kunishobokea hivi, ni mzuri amepanda hewani, trako ndo usiseme hips zake amejaaliwa . Ghafla saa kumi na moja alfajiri ananigongea kuamka namkuta yeye nikamkaribisha akaingia ndani nikiwa nimepanga kwa shemeji yake. Nikatoka kwenda msalani na taulo tu, narudi namkuta kakaa kitandani siunajua getto linavokuwa , cha ajabu ndala alizovaa nikazikuta ndani nkajisemea huu msala

Na ufisi wote nilimwacha aende kama alivoingia

Miezi mitatu dah binti ana mimba kubwa tu
 
Somo la Uvumilivu tayari tunakupa A [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…