Ukizingatia haya hautapata shida kuongea na mwanamke

Watakuja wakwambie hayo yote bila pesa Ni kazi bure bt umeongea ukweli mtupu mkuu.
Ni fikra za watu tu.
ukweli ni kwamba pesa haijawahi tosha, leo ukipata kesho unatafuta tena.
Pia nimeona wengi wanaosema tafuta pesa bla bla bla kuna ka insecurity kamejificha apo.
 
Zipo nyuzi nyingi sio lazima usome usiyoipenda.
 
We nae kila mada yako ni wanawake, watu kama nyie ndo mnawafanya hawa viumbe wajione keki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…