realleonia
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 366
- 138
Nipoo paradise na Tusker ya 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia moja uelekeo escape 1 kusema asante 2015 pesa za kutosha mfukoni... hii mpaka mwaka ujao ndio narudi kwa nyumba.Wakuu nipo Bar moja apa sinza kiukweli ina totozi wa kumwaga sana hili chimbo ni sijawahi tia mguu ni leo ndo naanza Sijui ningoke na mwaarabu au africast , Wife leo nimempa likizo Btw Nipo na Serengeti hii ya Tano sasa mdo mdo mlevi mwenzangu uko wapi?
Acha wivu we ndo utampa ukimwi jamaa sio kitombi kama unavyo mfikiria Waiter mpe Savanah huyu analialia tuu hapa wengine hatufagilii hzo K zenuWe fala kweli...na uupate ukimwi
Unawaza ngono tu
Mh! Leo huko hapatatoshaNipo Picnic ila naelekea Club D muda si mrefu.........nipo tot ya 6 teachers............nikifika kule nitabadilisha kinywaji........sijajua nitakunywa nini........
Paradise ya wap mkuu?Nipoo paradise na Tusker ya 6
Nipoo paradise na Tusker ya 6
Panaitwaje hapo nije?Wakuu nipo Bar moja apa sinza kiukweli ina totozi wa kumwaga sana hili chimbo ni sijawahi tia mguu ni leo ndo naanza Sijui ningoke na mwaarabu au africast , Wife leo nimempa likizo Btw Nipo na Serengeti hii ya Tano sasa mdo mdo mlevi mwenzangu uko wapi?