Uko bia ya Ngapi na wapi?

Njia moja uelekeo escape 1 kusema asante 2015 pesa za kutosha mfukoni... hii mpaka mwaka ujao ndio narudi kwa nyumba.
 
We fala kweli...na uupate ukimwi
Unawaza ngono tu
 
Kili ya baridiii namalizia ya 3 nahama kiwanja hapa nilipo pamepoa.....
 
Nipo mabibo Azimio kuna baa inaitwa star point leo kuna mapacha 3 wanapiga nipo castle lite baridi ya 7 sasa
 
We fala kweli...na uupate ukimwi
Unawaza ngono tu
Acha wivu we ndo utampa ukimwi jamaa sio kitombi kama unavyo mfikiria Waiter mpe Savanah huyu analialia tuu hapa wengine hatufagilii hzo K zenu
 
Nipo Picnic ila naelekea Club D muda si mrefu.........nipo tot ya 6 teachers............nikifika kule nitabadilisha kinywaji........sijajua nitakunywa nini........
Mh! Leo huko hapatatosha
 
Kez pub Ubungo ndovu ya 4 nasubiri kilo ya Noah.
 
Kimsingi hapa meza imechafuka vibaya.
Ni Gold crest hotel, Mwanza
 
Teheee. Nipo na dompo chupa ndo inaishia hapa sebuleni kwangu! Chupa ya pili ipo pembeni.
 
Panaitwaje hapo nije?
 
Me nimalizia msingi wa 3 kitaa na wana, huku nyama choma mbuzi yaaani mpaka 2016
 
Nnamshukuru Mungu me npo hom na heineken ya tatu mdogo mdooogoo. HERI YA MWAKA MPYA WAKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…