Unaish maisha kama uko motoni
Haya ni maneno aliyoyatoa jamaa yangu m1,jana nilimkuta victoria pale ananyeshewa na mvua nkampa lift,sasa tukawa tunacheka, Kasema yeye machaguo aliyochagua maishan ndo yanamtesa. Hahahah. Nilicheka sana
Uzi tayari
Uzi wa kupoteza muda tuu
Wakuu yaan mi nmechoka kufanya kaz wakuu, kabisaaaa, yaan hapa nipo ofisin nataman hata kuacha kaz. Ingawa sjui wats next baada ya kuacha kaz.