Uko jangwani Ukakutana na katoni ya masafi au Mo passion unachukua ipi?

February Makamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
2,151
Reaction score
2,983
Greerings earthlings,

Niko najifunza physiology ya mwili wa binadamu.

Assume hujala na hujanywa siku4 jangwani, kipi bora kukutana na katoni la maji ya masafi au katoni la juice za mo passion.

Nimefikiria kuuliza hivo baada ya kusikia kiu na njaa lakini nina 500 mfukon. Sasa bora kujali kiu kwanza au kunywa hiyo passion maana ina maji + sukari ambayo ni kama chakula kitakupa nguvu?
 
Kunywa maji Mkuu ...
 
Ushasema una kiu sasa mo passion ya nini? Ungesema una njaa hapo hamna cha kukufaa koz hujaweka Mirinda orange kwenye option.
 
Ushasema una kiu sasa mo passion ya nini? Ungesema una njaa hapo hamna cha kukufaa koz hujaweka Mirinda orange kwenye option.
nina kiu na njaa.

kwani mo passion haina sukari?
 
Unanunua moja nyengine unakopa!
 
Kunywa maji ushushie na maandaz
 
Una assume kila mtu anajua uzungumziacho?
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…