ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Nipo bugurun sokoni kununua matikitiWana Bodi, nimeanzisha thread hii ya kujulishana maeneo tunayolia bata weekend hii, Mimi Niko Maeneo ya Kawe beach nabarizi huku nikila vitu (bia)na marafiki
Wewe uko maeneo gani muda huu
Vizuri sana mkuuNipo bugurun sokoni kununua matikiti
Kimara auLa temba kona hapa
YeahKimara au
Hutoki mkuukitandani tu hapa naperuzi JF
sitoki leo chiefHutoki mkuu
Vyuma ausitoki leo chief
Safi Sana mkuu, hujaenda na Mbebez
haswaaa!!Vyuma au
kumbe tupo woteNipo maeneo ya chumbani