Uko kijiwe gani weekend Hii

Ameitika ndugu mjumbe...tehteehh
Nawe msalimie yule mwenye nampenda, ambae ndio wifi ake na shemela....[emoji1] [emoji1]
Zimefika mh Mjumbe, amefurahi sana maana nasema huwa unamfurahisha sana.....

Kwa kauli hiyo ya pongezi lazima niwe makini mh mjumbe[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Zimefika mh Mjumbe, amefurahi sana maana nasema huwa unamfurahisha sana.....

Kwa kauli hiyo ya pongezi lazima niwe makini mh mjumbe[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ukuwe na amani tele ndugu mjumbe, usipate kujongewa na mashaka kwa mimi... maana wanasemaga mimi libaya, ndiomaana nilikwisha jijua kwamba sipendiki....tehteehh
 
Ukuwe na amani tele ndugu mjumbe, usipate kujongewa na mashaka kwa mimi... maana wanasemaga mimi libaya, ndiomaana nilikwisha jijua kwamba sipendiki....tehteehh
Wewe ndio hatari zaidi mh mjumbe..
 
Ukimaliza ku download movie, ebu ukuje hapa karibu na spika
Ushimen nilishatoka nikapitia hapo carwash baada ya kubeba chairmoto nikawahisha nyumbani, lkn usihofu kabla ya saa 2 usiku nitatinga mm ni mshabiki wa Serengeti kubwa huyo counter ananijua nimeiacha bado kaniwekea
 
Ndugu mjumbe, wewe unanishinda kwenye hatari wakati unafanya ufundi wa miili yao...tehteehh
Mh mjumbe naona mizani yako imekuwa nzito sana ngoja nikadundulize nije niongeze na kwa upande wangu ili msawazo ukae vyema
 
Ushimen nilishatoka nikapitia hapo carwash baada ya kubeba chairmoto nikawahisha nyumbani, lkn usihofu kabla ya saa 2 usiku nitatinga mm ni mshabiki wa Serengeti kubwa huyo counter ananijua nimeiacha bado kaniwekea
Nimesha kujua mkuu, na nimekumbuka penye ulikua umekaa.
Na ulikua umevaa T-shirt ya..... na chini viatu za wazi. Pembeni yako alikua amekaa jamaa anakunywa serengeti light na upande mwingine kuna mwenye alikua akikata machozi ya simba...tehteehh
 
Moja ya kijiwe changu bora kabisa nikiwa Dodoma nilikuwepo last w'end natumaini w'end ijayo nitakuwepo hapo kwa ajili ya mdudu na bia za baridiii.
ukija km unamtaka mdudu hasa na laini jamaa yangu hebu nenda pale Makole kwenye Petrol station inaitwa IJENGA kuna kaBar kamoja kanaitwa Vitoria. kwa nje tu wamekukan\ribisha na bango la kitambaa KITIMOTO CHOMA hapo utakula kipimo halisi km ni ya kuchoma, kukaanga hata kuna kitu wanaita MAKANGE huyo Dada MANKA si mchezo huko Waswanu utapakataa
 
Nipo hapa Waswanu Pub Dodoma.
Karibu tuchane vitimoto na Nyagi kubwa...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Njoo hapa Chako n' Chako tule kuku choma[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…