sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,723
- 4,286
Karibu kwenye chama aisee jamaaaEbu tukule ni raha tu....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu kwenye chama aisee jamaaaEbu tukule ni raha tu....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Asante ndugu mjumeKaribu kwenye chama aisee jamaaa
Zimefika mh Mjumbe, amefurahi sana maana nasema huwa unamfurahisha sana.....Ameitika ndugu mjumbe...tehteehh
Nawe msalimie yule mwenye nampenda, ambae ndio wifi ake na shemela....[emoji1] [emoji1]
Ukuwe na amani tele ndugu mjumbe, usipate kujongewa na mashaka kwa mimi... maana wanasemaga mimi libaya, ndiomaana nilikwisha jijua kwamba sipendiki....tehteehhZimefika mh Mjumbe, amefurahi sana maana nasema huwa unamfurahisha sana.....
Kwa kauli hiyo ya pongezi lazima niwe makini mh mjumbe[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu, tupo huku soko la zamaninielekezeni pa kuinywa budweiser
Wewe ndio hatari zaidi mh mjumbe..Ukuwe na amani tele ndugu mjumbe, usipate kujongewa na mashaka kwa mimi... maana wanasemaga mimi libaya, ndiomaana nilikwisha jijua kwamba sipendiki....tehteehh
Ushimen nilishatoka nikapitia hapo carwash baada ya kubeba chairmoto nikawahisha nyumbani, lkn usihofu kabla ya saa 2 usiku nitatinga mm ni mshabiki wa Serengeti kubwa huyo counter ananijua nimeiacha bado kaniwekeaUkimaliza ku download movie, ebu ukuje hapa karibu na spika
Ndugu mjumbe, wewe unanishinda kwenye hatari wakati unafanya ufundi wa miili yao...tehteehhWewe ndio hatari zaidi mh mjumbe..
ni lipi hilo la Majengo? au Nyerere square kweli ww mwenyejiMkuu, tupo huku soko la zamani
Mh mjumbe naona mizani yako imekuwa nzito sana ngoja nikadundulize nije niongeze na kwa upande wangu ili msawazo ukae vyemaNdugu mjumbe, wewe unanishinda kwenye hatari wakati unafanya ufundi wa miili yao...tehteehh
Nimesha kujua mkuu, na nimekumbuka penye ulikua umekaa.Ushimen nilishatoka nikapitia hapo carwash baada ya kubeba chairmoto nikawahisha nyumbani, lkn usihofu kabla ya saa 2 usiku nitatinga mm ni mshabiki wa Serengeti kubwa huyo counter ananijua nimeiacha bado kaniwekea
Majengo maeneno ya sango...tehteehhni lipi hilo la Majengo? au Nyerere square kweli ww mwenyeji
Ndugu mjumbe, Asante kwa wakati wakoMh mjumbe naona mizani yako imekuwa nzito sana ngoja nikadundulize nije niongeze na kwa upande wangu ili msawazo ukae vyema
ukija km unamtaka mdudu hasa na laini jamaa yangu hebu nenda pale Makole kwenye Petrol station inaitwa IJENGA kuna kaBar kamoja kanaitwa Vitoria. kwa nje tu wamekukan\ribisha na bango la kitambaa KITIMOTO CHOMA hapo utakula kipimo halisi km ni ya kuchoma, kukaanga hata kuna kitu wanaita MAKANGE huyo Dada MANKA si mchezo huko Waswanu utapakataaMoja ya kijiwe changu bora kabisa nikiwa Dodoma nilikuwepo last w'end natumaini w'end ijayo nitakuwepo hapo kwa ajili ya mdudu na bia za baridiii.
Mkuu, nakusalimia....[emoji112]Kwa fundi said nasubiri nguo ya kitchen party
Karibu tena mkuu....
Ukikuja ebu tutaftane walau nisababishe kilo 1 kwa kuanzia
Njoo hapa mtaa wa pili tunywe soda[emoji6]kitandani tu hapa naperuzi JF
Njoo hapa Chako n' Chako tule kuku choma[emoji39] [emoji39] [emoji39]Nipo hapa Waswanu Pub Dodoma.
Karibu tuchane vitimoto na Nyagi kubwa...[emoji39] [emoji39] [emoji39]