Uko kijiwe gani weekend Hii

Uko kijiwe gani weekend Hii

Nipo hapa Waswanu Pub Dodoma.
Karibu tuchane vitimoto na Nyagi kubwa...[emoji39] [emoji39] [emoji39]

Moja ya kijiwe changu bora kabisa nikiwa Dodoma nilikuwepo last w'end natumaini w'end ijayo nitakuwepo hapo kwa ajili ya mdudu na bia za baridiii.
 
Moja ya kijiwe changu bora kabisa nikiwa Dodoma nilikuwepo last w'end natumaini w'end ijayo nitakuwepo hapo kwa ajili ya mdudu na bia za baridiii.
Karibu tena mkuu....
Ukikuja ebu tutaftane walau nisababishe kilo 1 kwa kuanzia
 
Hii ndio faida ya pombe, hauwezi kumbuka shida ama matatizo...tehteehh
Kama ulikuwepo jamaaa, hapa rafiki zangu wamenizunguka nasogeza weekend taratiibu bila kukumbuka shida walamatatizo aina yoyote
 
Yule unaemjua, tuponae hapa....tehteehh[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mdomo wangu umebaki wazi akiiii.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Msalimie mh mjumbe
 
Mdomo wangu umebaki wazi akiiii.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Msalimie mh mjumbe
Ameitika ndugu mjumbe...tehteehh
Nawe msalimie yule mwenye nampenda, ambae ndio wifi ake na shemela....[emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom