Series yangu ya wakati wote. Season 5 napendaga wenge la Charles Logan na pale Jack Bauer anavyomtoa wenge Walt Cummings.Kesho mtindo mmoja inatakiw niangalie Season 5 Na 6 ya series 24hoursl. Zote sina episode 24. Nitakaa Na Panado kabisa kichwa kisiume
mimi hadi kuna swimmin point moja wananiita royal customer..maana kila jmos lazima niendeIt's been a while toka niguse maji, wakati it used to be my favourite past time
Mm niko hoi kwa Chloe nitafutie namba yakeSeries yangu ya wakati wote. Season 5 napendaga wenge la Charles Logan na pale Jack Bauer anavyomtoa wenge Walt Cummings.
Ukitaka kujua lala uongo. Uwe unachunguliaNasi watoto tueleweshe
southern sun....Panaitwaje, nipatembelee na mimi siku nikipata chance