Mirhea
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 814
- 1,382
Series yangu ya wakati wote. Season 5 napendaga wenge la Charles Logan na pale Jack Bauer anavyomtoa wenge Walt Cummings.Kesho mtindo mmoja inatakiw niangalie Season 5 Na 6 ya series 24hoursl. Zote sina episode 24. Nitakaa Na Panado kabisa kichwa kisiume