Uko peke yako usiku alafu uone mtu kaingiza mkono Kama mlangoni Kama hivi utafanyaje?

Uko peke yako usiku alafu uone mtu kaingiza mkono Kama mlangoni Kama hivi utafanyaje?

Hapo unaukamata mkono then unaufunga kamba yaani unakaza , then atoe maelezo ya kueleweka,

Labda kalewa kapotea nyumba[emoji23]
 
Enzi zile tukichelewa kurudi nyumbani ndio tunafanya hizi,tunapitisha mkono kwenye tundu la ukuta hadi kwenye kemeo la geti, kumbe ingekuwa leo tayar wazazi wangeshakata mikono yetu wakijua kuwa ni wezi kumbe ni damu zao kabisa.
 
Huyu anakuwa hana bahati, vile nitamchalanga mapanga hataamini
 
Back
Top Bottom