Mkuu napata mashaka hapa au ndio wewe muhusika uliyepitisha mkono kwenye lango la jamaa nini?Nimesoma comments naona watu wanawaza kuukata mkono. Sasa itakuwaje Mwenye mkono akiwa Ni kichaa na hakuwa na nia mbaya
🤣na kweli maana anafungua Kwa shida sanaNitamfungulia ili asipate tabu...
Hapo hata stuli inamaliza kazi,unaishusha kwa nguvu zote hapo juu bati la hilo geti litafanya finishingHumo ndani hauna panga?
Na kama ni jambazi akifanikiwa kuingia ndani atakuwa amekuletea ice-cream?Nimesoma comments naona watu wanawaza kuukata mkono. Sasa itakuwaje Mwenye mkono akiwa Ni kichaa na hakuwa na nia mbaya