Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Mwambieni DAB awaambie na wabunge wapeleke report kwake,Mbunge ambaye hajagombana na viongozi wa halmashauri hadi mkoa huyo hajafanya kazi, hatakiwi kurudi bungeni.Tunaona Mhe Rais anavyogombana na watendaji mbalimbali, tunamuona Waziri mkuu anavyoita watu wanieleze, tume zinaundwa na matokeo tunayaona, lkn wabinge wetu wao kimyaa hata diwani wanashindwa kumkemea, watumishi mbalimbali wanadhindwa kuwakemea, sasa tukuchague tena ili utusaidie nini, au kwa vile hivi vibarabara 2,3 au visima vya maji vilivyokuja jimboni kingekewa ukizingatia lilikuwa ni ombi lamiaka 20 iliyopita ndio mbunge atajidai navyo kuwa ameleta maendeleo.Ukiwapigia simu hawapokei, kisingizio eti kazi nyingi, sasa tukurudishe kwa lipi?
MimiSalaam Wakuu,
Nina swali hapa
Endapo Mbunge wa Jimbo lako atagombea tena, utampigia kura za Ndiyo?
Kwanini?
Karibuni tufunguke
Hata kwa bunduki siweziSalaam Wakuu,
Nina swali hapa
Endapo Mbunge wa Jimbo lako atagombea tena, utampigia kura za Ndiyo?
Kwanini?
Karibuni tufunguke
Naanzaje kumuacha Antony Mavunde kwa hapa Dodoma mjini kila kitu kinaletwa na serikali kuu bila hata yeye kukiomba. 2025 nitaenda naye hana baya na mtu hapa Dodoma mjiniSalaam Wakuu,
Nina swali hapa
Endapo Mbunge wa Jimbo lako atagombea tena, utampigia kura za Ndiyo?
Kwanini?
Karibuni tufunguke