Uko wapi Baba V?

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habari wadau wa mjengoni hapa


Mwenzenu namtafuta huyu mwenyekiti wetu wa misimamo hapa mjengoni
maana naona miezi sasa sijamtia machoni mwangu hivi amefichwa wapi?

Au keshabamizwa ban na hawa mamods wetu jamani? Nawaomba pls
popote alipo jamani kama yuko kule utawala, maliasili, au siasani mwiteni Baba V tumemiss sana na busara zake zinahitajika hapa mjengoni kwani
Mjengo umeshamezwa na mamba na hakuna mtu wa kuugomboa
maneno yake ya hekima yatafanya hapa pawe bora na tupate katiba bora

Popote Baba V unahitaji hapa pls pls pls ukuje huku, nisaidieni kumtafuta
 
Last edited by a moderator:
poppote alipo namsaka maana sikuhizi kumekuwepo na wasapu basi kosa haonekani huku aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…