Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Jamani namtafuta Darlia Shayo alikuwa Miss Makutupola JKT 1992-3! Tulikuwa marafiki na alikuwa mdada wa shoka, Bellinda do worry namtafuta kwa a good cause ni miaka mingi imepita! Nadhani alitokea Msalato....alienda university Dar thereafter since then sijamsikia...
Nimeona picha yake kwenye kumbu kumbu zangu tukiwa kwenye green vest za kijani na pitshort za bluu hahahah maeneo ya Mzakwe kwenye shamba la Zabibu na Afande Kimbuga kwa pembeni...na kama hapa JF kuna jamaa tulikuwa naye kwenye ile timu ya jeshi tuliocheza ligi daraja la pili kanda aniPM jamaa walitaka tulostisha kweli eti tupandishe timu na sisi tuajiliwe jeshini kwa mpira...thank God hakuna aliyekubali
Bon week end
Masa