Uko wapi Darlia Shayo!

Uko wapi Darlia Shayo!

Status
Not open for further replies.

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
Jamani namtafuta Darlia Shayo alikuwa Miss Makutupola JKT 1992-3! Tulikuwa marafiki na alikuwa mdada wa shoka, Bellinda do worry namtafuta kwa a good cause ni miaka mingi imepita! Nadhani alitokea Msalato....alienda university Dar thereafter since then sijamsikia...

Nimeona picha yake kwenye kumbu kumbu zangu tukiwa kwenye green vest za kijani na pitshort za bluu hahahah maeneo ya Mzakwe kwenye shamba la Zabibu na Afande Kimbuga kwa pembeni...na kama hapa JF kuna jamaa tulikuwa naye kwenye ile timu ya jeshi tuliocheza ligi daraja la pili kanda aniPM jamaa walitaka tulostisha kweli eti tupandishe timu na sisi tuajiliwe jeshini kwa mpira...thank God hakuna aliyekubali

Bon week end

Masa
 
Tulikuwa marafiki na alikuwa mdada wa shoka, Bellinda do worry namtafuta kwa a good course ni miaka mingi imepita!

Masa

Belinda should worry indeed....pia good course(cause) my foot......Acha kujishtukia mkuu
 
Tushaongea na kanipa Go ahead....hapana mazee wala sijajishtukia....ushamsikia sehemu mazee...!
 
Jamani namtafuta Darlia Shayo alikuwa Miss Makutupola JKT 1992-3! Tulikuwa marafiki na alikuwa mdada wa shoka, Bellinda do worry namtafuta kwa a good cause ni miaka mingi imepita! Nadhani alitokea Msalato....alienda university Dar thereafter since then sijamsikia...

Nimeona picha yake kwenye kumbu kumbu zangu tukiwa kwenye green vest za kijani na pitshort za bluu hahahah maeneo ya Mzakwe kwenye shamba la Zabibu na Afande Kimbuga kwa pembeni...na kama hapa JF kuna jamaa tulikuwa naye kwenye ile timu ya jeshi tuliocheza ligi daraja la pili kanda aniPM jamaa walitaka tulostisha kweli eti tupandishe timu na sisi tuajiliwe jeshini kwa mpira...thank God hakuna aliyekubali

Bon week end

Masa

jifunze ku-let GO; 15 years later bado unamuwaza waza tu? c'mon.
 
.....Makutupola JKT 1992-3! ......alienda university Dar ... since then sijamsikia...

Nimeona picha yake kwenye kumbu kumbu zangu tukiwa kwenye green vest za kijani na pitshort za bluu hahahah maeneo ya Mzakwe kwenye shamba la Zabibu na Afande Kimbuga kwa pembeni...na kama hapa JF kuna jamaa tulikuwa naye kwenye ile timu ya jeshi tuliocheza ligi daraja la pili kanda aniPM jamaa walitaka tulostisha kweli eti tupandishe timu na sisi tuajiliwe jeshini kwa mpira......

Kumbe mzeee umekula chumvi kiasi cha mboga.....behave as a grown up humu ....
 
Shem masa kifaa chenyewe Darlia shayo unachokiulizia si hicho Uwiano
 
Kumbe mzeee umekula chumvi kiasi cha mboga.....behave as a grown up humu
..

UW huachi kunishangaza hapa JF! Poa nimekusikia.kama unajua alipo niambie ...Wakati mwingine.I think Yo Yo might be right!
 
Bwa ha ha ha ha ha ha ha ha ha, waliokuwa JKT mwaka ulioutaja ni vijeba, wako above 35!

I wonder hata huyo Yo Yo unayemwaminia ni kijeba au ajuza vile vile. Bwa ha ha ha ha ha ha haaaa.

Endelea kushangaa ila ukweli ni kwamba umechelewa maisha, uko kwenye count down kuelekea forty, shikamoo mzee.

Marahaba dogo ume unaheshima basi hapa jamvini...kila mtu si mtoto! Usitafute my personal life yangu dogo....nakusihi kama unatabia zile asemazo Mh Yo Yo acha ni kinyume na maandiko ya dini yako!
 
masa ..taaratibu ...utakuwa unaulizia mke wa mtu humu humu ndani!!!.....wenzangu na mie si unajuwa wanaume wivu wetu,mtu akioa mwanamke anaaza kwa kuwa hate watu woote ambao walipata au anahisi walikuwa wanamdate mkewe hata miaka 20 nyuma....haijalishi!
 
Najua Mkuu ila namtafuta kwa nia nzuri tu...maana nami niko engaged ....kama jamaa nitamkwaza nitaomba radhi mara moja!
 
masa ..taaratibu ...utakuwa unaulizia mke wa mtu humu humu ndani!!!.....wenzangu na mie si unajuwa wanaume wivu wetu,mtu akioa mwanamke anaaza kwa kuwa hate watu woote ambao walipata au anahisi walikuwa wanamdate mkewe hata miaka 20 nyuma....haijalishi!

Yaani nimeshindwa kumjibu Masa, nahisi kumfahamu vizuri huyo dada kabla hajakutana na Masa. Huyo dada ameolewa na ana watoto kadhaa na mume wake pia namfahamu (nimemfahamu kupitia Daria). LAbda awe mwingine lakini Daria nimfahamuye nimesoma naye shule ya msingi huko Dar na tuliachana 1985 baada ya kumaliza shule, baada ya miaka kumi hivi nikakutana naye ameshakuwa na familia.

Masa, acha hizo; unamtafutia nini mke wa mtu? Kama huweza kumshawishi awe mkeo huo JKT basi mshukuru Mungu.
 
Simtafuti kwa mahusiano ama chochote mkuu Ibrah unajua kuna watu unakutana nao kwenye maisha unatamani uendelee kujua walipo na wanaendeleaje its like sipping the most delicious wine - and want it to last forever. Asante sana kwa taarifa nimefurahi sana...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom