Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
- Thread starter
-
- #21
nili clear dialogWewe uliogopa kumuomba namba zake?
hahaha pole mkuuAmina mtoto wa kipemba mzuri balaaa nilikutana nae mwaka 2005 pale Tazara nikamuongelesha nikamuomba no akanipa ila cm wakati nataka kuandika ikaisha chaji nikampa no yangu akaisevu frsh ya voda aisee nikarudi geto nikisubiri anipige hee yani siku wiki mwezi mpaka leo akunipigia cm dah nimeoa now nawatoto wa 4.
umestuka kwannnimeona heading nimeshtuka loh!! Uzuri siku tajwa sikuwepo Daslam
ILA mzee uko vizuri.,toka upotezane na Amina mwaka 2005 hadi Leo miaka 13,Una watoto WA 4 hahahhhaha hongera mzeeAmina mtoto wa kipemba mzuri balaaa nilikutana nae mwaka 2005 pale Tazara nikamuongelesha nikamuomba no akanipa ila cm wakati nataka kuandika ikaisha chaji nikampa no yangu akaisevu frsh ya voda aisee nikarudi geto nikisubiri anipige hee yani siku wiki mwezi mpaka leo akunipigia cm dah nimeoa now nawatoto wa 4.
haha acha ujinga dogo,,don't get me exposedPole Patrick
wala siitwi hvyooPole Patrick
Haha niliotea tuwala siitwi hvyoo
[emoji19]umestuka kwann
kwendraaani mimi