Uko wapi Diana? It's me St. Patrick

Uko wapi Diana? It's me St. Patrick

Amina mtoto wa kipemba mzuri balaaa nilikutana nae mwaka 2005 pale Tazara nikamuongelesha nikamuomba no akanipa ila cm wakati nataka kuandika ikaisha chaji nikampa no yangu akaisevu frsh ya voda aisee nikarudi geto nikisubiri anipige hee yani siku wiki mwezi mpaka leo akunipigia cm dah nimeoa now nawatoto wa 4.
hahaha pole mkuu
 
ILA mzee uko vizuri.,toka upotezane na Amina mwaka 2005 hadi Leo miaka 13,Una watoto WA 4 hahahhhaha hongera mzee
 
Back
Top Bottom