rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Nilienda masomoni nikaahirisha mambo ya kutafuta mchumba. Ndo nimerejea. Upo hapo?
Hapo sawa mkuu.
Hapana. Namaanisha inawezekana akawa mtu mzima ambaye ameenda kujiendeleza katika elimu ya juu.
sawa mkuu kila la kheri acha sie wanafunzi tujisomee