Nilienda masomoni nikaahirisha mambo ya kutafuta mchumba. Ndo nimerejea. Upo hapo?
Hapana. Namaanisha inawezekana akawa mtu mzima ambaye ameenda kujiendeleza katika elimu ya juu.
Ukimaliza shule nistue rubi nije nije tubonge kifaransaHapo sawa mkuu.
sawa mkuu kila la kheri acha sie wanafunzi tujisomee
Umedanganywa kidogo umeingia kingi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hapo sawa mkuu.
sawa mkuu kila la kheri acha sie wanafunzi tujisomee
Jamaa toka 2013 bado anatafuta tuAlmost 4years bado hujampata tu?
Kweli ndoa ni jambo gumu kulitekeleza
Best luck mkuu
am hereHabari zenu wana JF.
Kwa moyo mkunjufu napenda kutangaza nia yangu ya kutaka kuoa. Sitanii wala sina mpango huo kabisa. Najua zipo namna nyingi za Mungu kumkutanisha mtu na mke wake. Na ninaamini hapa JF ni mahali sahihi pia.
Mimi binafsi ni Mkristo, mhitimu wa Chuo kikuu, nimeajiriwa, na nina umri wa miaka 30.
Natafuta mke mwenye umri usiozidi miaka 30, awe na elimu angalau ya kidato cha nne na awe Mkristo. Anaweza kuwa yuko chuoni, ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
Mambo mengine tutayaongea kupitia inbox. Aliye na nia ya dhati ani-PM
nichek in boxHabari zenu wana JF.

sasa si useme upo kada gani mkuu watu wafanye maamuzi ya kukutafuta .ILA HADI UMELILETA JF ITAKUWA UMEKATALIWA NA WENGI SANA(Utani tu)Habari zenu wana JF.
Kwa moyo mkunjufu napenda kutangaza nia yangu ya kutaka kuoa. Sitanii wala sina mpango huo kabisa. Najua zipo namna nyingi za Mungu kumkutanisha mtu na mke wake. Na ninaamini hapa JF ni mahali sahihi pia.
Mimi binafsi ni Mkristo, mhitimu wa Chuo kikuu, nimeajiriwa, na nina umri wa miaka 30.
Natafuta mke mwenye umri usiozidi miaka 30, awe na elimu angalau ya kidato cha nne na awe Mkristo. Anaweza kuwa yuko chuoni, ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
Mambo mengine tutayaongea kupitia inbox. Aliye na nia ya dhati ani-PM
atampata JFIkiwa Eva ni original toka mikononi mwa Mungu alishindwa kuwa mke mwema, je miisho hii mke mwema we umpate wapi?
come in boxHabari zenu wana JF.
Kwa moyo mkunjufu napenda kutangaza nia yangu ya kutaka kuoa. Sitanii wala sina mpango huo kabisa. Najua zipo namna nyingi za Mungu kumkutanisha mtu na mke wake. Na ninaamini hapa JF ni mahali sahihi pia.
Mimi binafsi ni Mkristo, mhitimu wa Chuo kikuu, nimeajiriwa, na nina umri wa miaka 30.
Natafuta mke mwenye umri usiozidi miaka 30, awe na elimu angalau ya kidato cha nne na awe Mkristo. Anaweza kuwa yuko chuoni, ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
Mambo mengine tutayaongea kupitia inbox. Aliye na nia ya dhati ani-PM
njoo in boxHabari zenu wana JF.