Uko wapi na hii lock down bubu....!?

Uko wapi na hii lock down bubu....!?

Hapo tunaenda pamoja.

๐Ÿป

Kumekucha salama, mapambano yanaendelea na jioni mrija kwa umma kama dawa ๐Ÿ˜œ.
Tanzania Tupo Salama, Tunachapa Kazi
Niko Tip Top Watu Wanapambana Tu Na Maisha
 
Mmekutana vimbwetani Jf.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] โ„๐•ฆ๐•ช๐•ฆ ๐•Ÿ ๐•ž๐•ฅ๐• ๐•ฅ๐•  ๐•จ๐•’ ๐•ž๐•’๐•ž๐•’ ๐•ช๐•ฆ๐•ก๐•  ๐•™๐• ๐•ค๐•ฅ๐•–๐• ๐•ž๐•œ๐•ฆ๐•ฆ
 
Take care of current affairs and get prepared for tomorrow

Member that morrow is full of uncertainities....
[emoji44][emoji44]๐•ฆ๐•ฃ ๐•ฅ๐•ฃ๐•ช๐•š๐•Ÿ๐•˜ ๐•ฅ๐•  ๐•ฅ๐•™๐•ฃ๐•–๐•’๐•ฅ๐•–๐•’๐•Ÿ๐•š๐•Ÿ๐•˜ ๐•ž๐•–
 
๐”น๐•’๐•” ๐•ฆ๐•›๐•– ๐•Ÿ๐•’ ๐•Š๐•™๐•–๐•ž .....mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu kwan siwez kuja alone mana mm bado sijafanya maaamz sahihi ya kuwa nae et
 
I see you!!!๐Ÿคฃ

Damn....!! You..!๐Ÿ˜…๐Ÿ˜œ

Sasa mbona hukunishika bega...!????

Ulikuwa umejikunyata kwenye kiti, umekunyatwa na mtu au ulikuwa unayarudi magoma?

Mi sehemu yenye mziki siwezi kaa, miguu huwa inawasha kama nimewekewa mota.

Kidogo niimbe jana sema walinikatalia ๐Ÿ˜…
 
Kasinde we jiachie tu huko, nipo naandaa vipamba vya kukupima Covid-19 kwenye takroooo

Aahahahahahhahhhahaaa

Na nnavopenda kutembea wizout, wala hutapata tabu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Theengeeeh weeeh, yaaani uache kuniambukiza utamu wako ukodoe macho kabisaaa unanichukua kipimo cha โ€˜rona....๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Ntakutekenya hadi usahau kama ilikiwa ufanye vipimo au tulikuwa tunacheza chakacha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Ila miguu inauma, jana nilikuwa nacheza na mchuchumio nilifikiri bado nna miaka 26 ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Nahitaji huduma ya kukandwa miguu na sanitaizaya moto ๐Ÿ˜…

Uko poa lakini...!?? Missed you ๐Ÿ˜˜
 
Npo Gm hotel kwenye residents zao hapa kichwa kimesizi hapa na pombe za jana
 
Tatizo n kudhungu, kinanisumbua mm jamani๐Ÿ˜

Aaahahahhaahhaaaa

Hii lugha tamu sana, baada ya sanitaiza kukolea kwenye blangata...๐Ÿ˜…

Lugha ilikuwa ina floo tuu mdomoni na kwenye keyboard.

Nilikuwa autolugha mode ๐Ÿ˜‚

Leo nimerejea lugha mama sanitaiza imeisha kwenye blangata ๐Ÿ˜œ
 
Back
Top Bottom