Uko wapi na hii lock down bubu....!?

Kasie maneno mengi sasa yananipiga usoni. πŸ˜‚πŸ˜†
Hebu andika maneno yalio nyooka yani straight

Aahahahahahahhaaa

Hii asubuhi nimepitia comment zangu zote nilizoandika jana nimezirekebisha...πŸ˜…

Maneno yalikuwa yanajitype tuu, santaiza ilikiwa 98% πŸ˜‚

Nilikuwa hyper sanaaa, kumbe ulinistukia eeehhhh....πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kumekucha πŸ˜†πŸ˜‚

Bataaaaaa

Hivi kwanini starehe imepewa chata ya πŸ¦† na sio 🐐 au 🐘....πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Katika ubora wako.

Huku nilipo tunapenda kutumia neno "Hakuna Matata".


KK

Uko Kisumu au Naivasha..!??

Well, sugar the slogan.... Hakuna Matata na Kasie Matata πŸ˜‰
 
[emoji44][emoji44]𝕦𝕣 π•₯𝕣π•ͺπ•šπ•Ÿπ•˜ π•₯𝕠 π•₯𝕙𝕣𝕖𝕒π•₯π•–π•’π•Ÿπ•šπ•Ÿπ•˜ π•žπ•–

No no noooo

How can’t I .....πŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Amenialika leoπŸ˜πŸ˜‹

Saafeeeyyyy

Na wewe ukienda mpelekee zawadi walau mkate au sabuni ya unga πŸ˜….

Usiende mikono mitupu.

Au ubebe pasi yako ukamnyooshee nguo kama zawadi, atafurahi sana 😜.
 
Npo Gm hotel kwenye residents zao hapa kichwa kimesizi hapa na pombe za jana

Agiza maji makubwa na supu kisha uoge halafu urudi kulala.

Ukiamka mchana oga kisha agizia ugali mazagazaga utakuwa fresh kwa makamuzi ya leo.
🍻
 
Ewaaaahhhhh....

Ulikujaaa...!????

Au ndo wewe ulikuwa bize na simu kila saa unajipiga selfie na watu tofauti tofauti [emoji28]
[emoji16][emoji16]hapana, nilikua naangaza simu nione reply yako, bahati mbaya ulikawia sana! Nikahama kiwanja, .mm nakunywa juice tu[emoji28]
 
Nireteeni Gwajima
Nireteeni Tulia, Nitatulia
Huyu Daniel Hajui Kujiereza Ni Darasa ra Saba
Ila Kwenye Matatizo Yenu Atawatetea Kule Bungeni
 
Ime-ekisipai ghafla jaman🀣🀣🀣🀣
 
Saafeeeyyyy

Na wewe ukienda mpelekee zawadi walau mkate au sabuni ya unga πŸ˜….

Usiende mikono mitupu.

Au ubebe pasi yako ukamnyooshee nguo kama zawadi, atafurahi sana 😜.
Vya bure vinagharama jamaniπŸ˜†πŸ˜†, ko unga? Sabuni? Nakupasi kupoπŸ€ͺ, hiv kama amejitoa kunigharamia starehe ya nyama choma na kamilinda pembeni, kweli atashindwa kasabuni😁, jokes tu jmn. Ila kanipa sharti gumu la kwenda na baby mama wangu na sina cjui nikodi tu sehemu but after leo tubaki kama awali😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…