nakuangalia tu unavyonikonyeza!
duh hii kali....!
Karibu sana kwa darasa... the way you eat (irregular) sio healthy kabisa. hata mimi sometimes hifanya hivo but sio healthy and I wouldn't encourage you. Hata kama huhisi njaa, kula hata matunda basi.
kwa macho......Jey hajambo?hehehe! Umenionaje?