Uko wapi Rondo?

Uko wapi Rondo?

Uko wapi RRONDO rafiki yangu toka utotoni. Ingawa ulikulia Mwananyamala enzi zile nikitoka Kwamtogole kuja kwenu nilijiona niko usuani. Ubabe wa watoto wa Kwamtogole hukuuzoe lakini niliwaambia wewe blood damu kwakiyo wasifanye harm.

RRONDO sijakuona jukwaani ni nini kimekusibu? Tunaweza kuwasha bettle yetu mimi na Asprin tuje tukutafute huko uliko.

Sky Eclat wa Kwamtogole
Wife, huu urafiki wa utotoni wewe na RRONDO hamkucheza ule mchezo wa baba na mama?

Unaanza kunitia wivu ujue...
 
Nisaidie kushangaa. Nilipoona huu uzi nilistaajabu maanake wakati ananiulizia nimepost humu chit chit, mmu, jukwaa la siasa,biashara na habari mchanganyiko. Ilibidi nikae kimya niangalie nini kinaendelea maanake mimi mwenyewe nilimuulizia mtu aliepigwa ban uzi ukabadili muelekeo na kuwa vita binafsi!
Wanaume wa Dar bana!!...ina maana hujamuelewa Sky???....Sky anatafuta mchepuko kwa sababu mume wake Asprin ana mchepuko wake tayari ambae ni Sakayo,hiyo ni gia tuuu!!....Kama hujui kusoma hata picha huoni???!
 
Back
Top Bottom