mbinguni
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 2,759
- 1,061
Tangu nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi kumekuwa na kanyaga twende ya vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya siasa zao kwa uwanja usio sawa. Hadi leo,chama tawala kimeweka mazingira magumu mno kwa vyama husika kufanya siasa ya kweli ili kuweza kupata mbadala wa chama tawala.
Iko wapi njia mbadala ya kupata chama mbadala kitakachoweza kutoa changamoto na hatimaye kuweza kuwashawishi wapiga kura kukichagua kuongoza nchi hii?
Iko wapi njia mbadala ya kupata chama mbadala kitakachoweza kutoa changamoto na hatimaye kuweza kuwashawishi wapiga kura kukichagua kuongoza nchi hii?