Mara nyingi wanadamu tunataka ukamilifu sehemu ambazo tunajua kabisa ukamilifu hauwezekani... Dosari na mapungufu ni vitu vipo tu tangu tunazaliwa hivyo kila mtu atembee na na akili zake kichwaniNi kweli. Lakini, mazingira ya kisiasa yanaruhusu? Kama hayaruhusu,tufanyeje ili tufanikiwe?
Wewe huoni? Au umekuwa kama kenge mpaka Stoke damu ndio ujue umeumia?Kakudanganya nani?
Kwani tatizo ni vyama mbadala kushawishi wapiga kura, ama ni kura za wananchi kuheshimiwa?Tangu nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi kumekuwa na kanyaga twende ya vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya siasa zao kwa uwanja usio sawa. Hadi leo,chama tawala kimeweka mazingira magumu mno kwa vyama husika kufanya siasa ya kweli ili kuweza kupata mbadala wa chama tawala.
Iko wapi njia mbadala ya kupata chama mbadala kitakachoweza kutoa changamoto na hatimaye kuweza kuwashawishi wapiga kura kukichagua kuongoza nchi hii?
Hilo la kuia cdm limeshashindikana, vyombo vya dola pekee ndio vinawapa jeuri ya muda mfupi.CCM tumeiua chadomo. msigwa kakamilisha mission kwa ustadi mkubwa. Mwenyekiti aliyepo hana uwezo hata wa kuongoza kikundi cha kwaya.
Machafuko.Zitaheshimiwa vipi kama hakuna njia mbadala? Ipi njia mbadala ya hizo kura kuheshimiwa?
kwani hao Wananchi wamekuwa hawachagui Chama mbadala au ni Nape Style ndio inayoleta shida ??Tangu nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi kumekuwa na kanyaga twende ya vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya siasa zao kwa uwanja usio sawa. Hadi leo,chama tawala kimeweka mazingira magumu mno kwa vyama husika kufanya siasa ya kweli ili kuweza kupata mbadala wa chama tawala.
Iko wapi njia mbadala ya kupata chama mbadala kitakachoweza kutoa changamoto na hatimaye kuweza kuwashawishi wapiga kura kukichagua kuongoza nchi hii?
Amini nakwambia CDM aliyekuwa anasumbua ni Mbowe tu. Intelligent, ana maokoto na connection ndani na nje ya nchi. Kuumua kobe inahitaji timing.Hilo la kuia cdm limeshashindikana, vyombo vya dola pekee ndio vinawapa jeuri ya muda mfupi.
Njia ni moja tu na rahisi sana,Tangu nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi kumekuwa na kanyaga twende ya vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya siasa zao kwa uwanja usio sawa. Hadi leo,chama tawala kimeweka mazingira magumu mno kwa vyama husika kufanya siasa ya kweli ili kuweza kupata mbadala wa chama tawala.
Iko wapi njia mbadala ya kupata chama mbadala kitakachoweza kutoa changamoto na hatimaye kuweza kuwashawishi wapiga kura kukichagua kuongoza nchi hii?
A mkeo mwenye mkia na watt uwaweke mbele watu wabakeeeee halafu uletew serikal safi hv hua shuleni mlienda kusoma ujinga hii terminology mnajua kuiandika tu hamjawahi ishuhudia zaid ya kwenye tvMachafuko.