Uko wapi upinzani waliouasisi Mabere Marando na Lyatonga Mrema?

Hoja hizi ndio za wajinga waliobaki. Wenye akili wanaangalia mambo mengine ya maana.
 
Wapinzani alituchelewesha sana, au nasema uongo ndugu zangu? By jiwe voice.
 
Mwandishi wa bandiko acha kujitoa ufahamu,unajua Kila kitu kuhusu siasa za Tanzania kwa sasa,unaleta bandiko Kama hili ili iweje?

Ajabu Sana,unauliza maswali ambayo majibu unayo ,au umwtumwa?
 
Shem on you tangu lini shushu akawa mpinzani wewe boya unakera
 
Shem on you tangu lini shushu akawa mpinzani wewe boya unakera
 
Upinzani wa mbowe anakula pesa zote za ruzuku
Msiojulikana hamna tena kazi mmebaki kubweka tu ili msikike kama mpo twambien kwanza ile mipanga boy imenunuliwa bei gani senzi sana mizwazwa nyinyi
 
Watu wanajifikiza huku wewe umekalia majungu!! Utakufwa usicheze corona...kuraaa nyungu ...maana hii ndiyo kauli mbiu ya taifa kwa sasa...

Chanjo za mabeberu hatuzitaki...wajichanje wenyewe !!

CCM oyeeee.....!!
Mbowe ni mwizi wa posho za wabunge wenzake au nasema uongo?

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Kwenye ishu ya kuibua masuala ya ufisadi, kwa mtazamo wangu Dr. Wilbrod Slaa, David Kafulila, John Mnyika na Tundu Lissu! Ndiyo ambao walifanya kazi kubwa na hasa wakati serikali ya JK ilipokuwa madrakani.
Muondoe mpuuzi Tundu Lissu
 
Kabla haujau attack upinzani jiulize hivi, hii ndiyo nchi aliyotuachia Mwl Nyerere?? nchi iliyoheshimika kwa kulinda haki za raia, nchi ambayo iliheshimika kwa kuheshimu Demokrasia, Nchi ambayo pamoja na umasikini wake lkn viongozi wake waliheshimika kote duniani
 
Mbona upinzani huu wa Lissu ulihoji uhalali wa vitambulisho vya machinga hadi boss wenu akasema havina umuhimu ila yeye ndio aliviasisi

Hivi kitambulisho hakina hata picha wala jina unaweza kuombea mkopo Benki ?
 
Iko wapi ile CCM iliyokuwa inaheshimu demokrasia, iliyokuwa inaheshimu haki za binadamu, inaheshimu uhuru wa maoni? CCM ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?
 
Kwani Chama Cha mrema kiko wapi na Mrema yuko wapi, tuanzie hapo kwanza
 
Mbona upinzani huu wa Lissu ulihoji uhalali wa vitambulisho vya machinga hadi boss wenu akasema havina umuhimu ila yeye ndio aliviasisi

Hivi kitambulisho hakina hata picha wala jina unaweza kuombea mkopo Benki ?
Tulia.
 
Siasa ni Biashara.

Covid 19 weeek chache kabla ya kufika gereji ya bunge waliitwa Wanawake wa Shoka

Leo hii ni wachumia Tumbo.

Jiulizeni nani asiechumia Tumbo lake? Nani ataki maisha mazuri?
 

upinzani saaahv ni nani anapata ruzuku kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…