Uko wapi utamu wa mke wa mtu? Jamaa nimemshauri hataki kuacha

Uko wapi utamu wa mke wa mtu? Jamaa nimemshauri hataki kuacha

Hahahaha kwamba aludi Tena amalize na masters kabisaaa😄😄😀

Acha ajigongee tu sas Kam mme wake mwenyewe zumbukuku anaonyeshwa asome pale yey anasoma kidore
 
Ila Uwiii K ya mkeo usipoijua basi wee bwege

K lazima uijue ,, labda kuliwa aliwe akiwa ameenda safari huko akae weee


Lkn hii ya kuvizia umeenda job, ndo uliwe hukohuko alafu jion unarudi nyumban??.


Kwanza mm, tuishi wote? Hutokaa kujua rasimi ratiba yangu ya kukutombaa..

Alafu nisiguse wiki zaidi ya mbili ,siku niingine nikute napwaya[emoji23][emoji23]

Na janja zenu zile za ukifikaa home unachangamka weeeee , unakoga mara ya pili, Nguo ulizovaa unafua usiku huohuo na chupi kabisa, et unajifanya unapika weeee, baada yakula unajisikia uchovu na kuumwa juuu

Mume wangu naenda kulala[emoji23][emoji23][emoji23]....mimi hapohapo ndio nitataka nikutie.
Kaka usiseme, mwanamke anaweza kuliwa mchana na jioni ukamla usijue!!! achana na sisi viumbe, narudia achana na sisi ohoo!!!
 
Ndugu yangu huyu ni mwaka na nusu sasa anadunda na mke wa mtu. Mwaka jana nikamshauri amwache mara moja,akakubali ila akaendelea kwa kificho.

Siku ya valentine day akampost kidogo whatsapp halafu akafuta. Ikabidi nimuweke kikao cha kishikaji na washkaji. Tukampa risala nzito,kumbe alivyotoka pale wakaenda chocho na yule mke wa mtu wakafanya tendo. Wakati wa tendo jamaa akamchana yule dada kwamba mimi namshauri amuache ila yeye hayuko tayari.

Kesho yake yule dada akatuma sms akaniambia kama naona ndugu yangu anafaidi basi na mimi anitafutie mke wa mtu. Sikumjibu...badae akaandika au nataka mimi ndio namtaka yule ndugu yangu.

Kitendo kile kiliniuma sana,nilidhalilika sana.

Mume wa yule dada alikuwa masomoni alikuwa akija mara moja moja. Ni jamaa niliwahi kufanya naye kazi. Sasa juzi kati nikakutana naye anatamba mke wake amemshauri arudi tena shule akachukue masters kabisa amalize kila kitu

Dadeki jamaa jinga sana. Lakini najiuliza wake za watu wana utamu gani?

Hana gharama huo ndo utamu wake mkubwa kaka
 
Siku si nyingi huyo jamaa yako atapigwa miti,mwambia atembee na KY jelly kabisa kwani kuliwa lazima ataliwa tu
 
Back
Top Bottom