Wanajamvi mimi ni mpenzi sana(wa zamani wa michezo ya ndani) ila nashindwa kuifuatilia kwa vile sijui ilipo kwa mji wa Arusha -hasa napenda table tennis na badminton.
Naomba anayejua ninapoweza kwenda kucheza michezo hii kwa Arusha anijuze
Nawasilisha