Uko wapi uwanja wa mchezo wa vinyoya - badminton kwa arusha

Uko wapi uwanja wa mchezo wa vinyoya - badminton kwa arusha

Sungurampole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Posts
984
Reaction score
205
Wanajamvi mimi ni mpenzi sana(wa zamani wa michezo ya ndani) ila nashindwa kuifuatilia kwa vile sijui ilipo kwa mji wa Arusha -hasa napenda table tennis na badminton.
Naomba anayejua ninapoweza kwenda kucheza michezo hii kwa Arusha anijuze
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom