Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
DuhTatizo jamaa wa caf wanataka kocha mwenye lesen A kwa mechi za kimataifa
Wamekaba kinoma majamaa kwenye ishu ya leseni.
Haiwezekani kila kocha anayekuja Kufundisha Simba basi ni lazima yeye awe msaidizi , hata kocha mpya akitimuliwa ila Matola anabaki , kubaki kwake kunamaanisha kwamba yeye uwezo wake ni mkubwa .
Sasa tunasema hivi Matola achukue ukocha kamili wa Timu ya Simba ili tukate mzizi wa fitna .
Analeseni ya Caf?Haiwezekani kila kocha anayekuja Kufundisha Simba basi ni lazima yeye awe msaidizi , hata kocha mpya akitimuliwa ila Matola anabaki , kubaki kwake kunamaanisha kwamba yeye uwezo wake ni mkubwa .
Sasa tunasema hivi Matola achukue ukocha kamili wa Timu ya Simba ili tukate mzizi wa fitna .
Ameshakidhi vigezo vya ukocha? Maana hatutaki baadaye mnaanza tena kuajiri makocha wa mechi za Kimataifa.Ni vizuri apewe ukocha mkuu na kupangiwa malengo akishindwa atimuliwe
Kuna watu wanataka apewe ukocha mkuu ili kuwaridhisha ngoja wampe waone kama kweli anastahiliAmeshakidhi vigezo vya ukocha? Maana hatutaki baadaye mnaanza tena kuajiri makocha wa mechi za Kimataifa.
We mbona hauna Phd kwenye taaluma yakoMuda wote huo alikuwa anasubili nini kusomea leseni A
Vyeti vyeti.....elimu elimu.Haiwezekani kila kocha anayekuja Kufundisha Simba basi ni lazima yeye awe msaidizi , hata kocha mpya akitimuliwa ila Matola anabaki , kubaki kwake kunamaanisha kwamba yeye uwezo wake ni mkubwa .
Sasa tunasema hivi Matola achukue ukocha kamili wa Timu ya Simba ili tukate mzizi wa fitna .
Kiingereza tatizo babu ...Muda wote huo alikuwa anasubili nini kusomea leseni A
atafutiweAnaleseni ya Caf?
Jamaa anachukulia kusoma kitu rahisi tuuWe mbona hauna Phd kwenye taaluma yako
Hiyo nasikia unasoma mwaka mzima kwa mafungu mafungu alafu kimbembe sasa kufaulu.atafutiwe
Basi kama hana mpango wa kusoma ili apate hiyo leseni atoke hapo ili kocha atakayekuja aje na msaidizi weke, yeye atafute team ambazo hazina mpango wa kushiriki kimataifa.Jamaa anachukulia kusoma kitu rahisi tuu