Ukocha wa Simba aachiwe Matola

Ukocha wa Simba aachiwe Matola

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Haiwezekani kila kocha anayekuja Kufundisha Simba basi ni lazima yeye awe msaidizi , hata kocha mpya akitimuliwa ila Matola anabaki , kubaki kwake kunamaanisha kwamba yeye uwezo wake ni mkubwa .

Sasa tunasema hivi Matola achukue ukocha kamili wa Timu ya Simba ili tukate mzizi wa fitna .
 
Mbna mnataka kuharibu kibarua cha mwenzenu bwashee

Analeseni ya Caf?
 
Haiwezekani Matola kuwa kocha mkuu coz hana qualifications za kimataifa na Simba ipo kimataifa now. Angekuwa na leseni ya daraja A kusingekuwa na kipingamizi chochote cha yeye kuwa head coach na kupima uwezo wake kwa ngazi za kimataifa
 
Haiwezekani kila kocha anayekuja Kufundisha Simba basi ni lazima yeye awe msaidizi , hata kocha mpya akitimuliwa ila Matola anabaki , kubaki kwake kunamaanisha kwamba yeye uwezo wake ni mkubwa .

Sasa tunasema hivi Matola achukue ukocha kamili wa Timu ya Simba ili tukate mzizi wa fitna .
Vyeti vyeti.....elimu elimu.
 
Jamaa anachukulia kusoma kitu rahisi tuu
Basi kama hana mpango wa kusoma ili apate hiyo leseni atoke hapo ili kocha atakayekuja aje na msaidizi weke, yeye atafute team ambazo hazina mpango wa kushiriki kimataifa.
 
Back
Top Bottom