Amekaa sana south amefanya kazi na wazungu ,sema kingine sio kizunguKiingereza tatizo babu ...
Kwanza ana cheti cha kidato cha nne?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekaa sana south amefanya kazi na wazungu ,sema kingine sio kizunguKiingereza tatizo babu ...
Kwanza ana cheti cha kidato cha nne?
Wote wakisoma nani awe kocha msaidiziBasi kama hana mpango wa kusoma ili apate hiyo leseni atoke hapo ili kocha atakayekuja aje na msaidizi weke, yeye atafute team ambazo hazina mpango wa kushiriki kimataifa.
Sio kwamba hanna mpango, haya mambo yataka kujipangansio wakurupuka tuu. Wee kwa mfano huko kwa wenyewe mtu kama zola anafanya na anafeli anarudia mara mbili. Sio rahisi kihivyo. Kuna hadi paper unatakiwa kuandika na ukaitetee.Basi kama hana mpango wa kusoma ili apate hiyo leseni atoke hapo ili kocha atakayekuja aje na msaidizi weke, yeye atafute team ambazo hazina mpango wa kushiriki kimataifa.
Kapewa Juma Mgunda !Tatizo Matola hataki shule.