Ukodishwaji wa Yanga na dhana na nia njema ya Mkodishaji.

Dont

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
233
Reaction score
198
Hakuna mfanyabiashara yoyote ambaye anafanya biashara ya hasara.

Manji ni mfanyabiashara mkubwa. Hawezi kuamua kusamehe deni la 11bn kwa kisingizio cha kulilipa ndani ya miaka 10, kama haoni return. Swali kwa nini hizo fursa anazo ziona sasa ndani ya yanga asizitumie kwa sasa kama mwenyekiti bali anataka mpaka amiliki club?

Kwa maoni yangu, Kusema ana nia njema ni uongo uliotukuka. Ukweli ni kwamba ameona fursa na anataka kuitumia ili kujinufaisha... [HASHTAG]#fikichaAkili[/HASHTAG]
 
Usitake kuleta utetezi wa uongo hapa.
Onyesha makataba wa Yanga na Manji kwanza.
 
KUMBUKUMBU YA MIAKA 2 or 3 NYUMA.

KUINGIA UWANJANI BURE
KUWEKA KAMBI UTURUKI
KUSAJILI KWA SIFA
KUIBA WACHEZAJI WA SIMBA
KUTUMIA PESA KWENYE UCHAGUZI
KUJIITA WA KIMATAIFA
KUPANDA NDEGE MIAKA YOTE. NK.
weka na wewe ya kwako,,,,,,,

Jumla kuu ya deni 11 bilioni

Benk hakuna kitu, Mapato hakuna, yani baada ya kukuta milioni 100 benk ajaingiza chochote zaid ya kutoa.

Ujinga huu uwezi kuukuta popote zaid ya yanga yetu limited fc.


Yanga African football club❌
Yanga yetu limited ✅

Sipendagi UJINGA Mimi
 
Hivi hizo bilion 11 zimekujaje?,au pesa za usajiri,za kuendesha club,mishahara zote alikuwa anakopesha Yanga?,sasa kipi alikuwa anafanya Kama mfadhili?,kipi Kama mkopo?....Huyu Mdosi shenzy Sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…