Dont
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 233
- 198
Hakuna mfanyabiashara yoyote ambaye anafanya biashara ya hasara.
Manji ni mfanyabiashara mkubwa. Hawezi kuamua kusamehe deni la 11bn kwa kisingizio cha kulilipa ndani ya miaka 10, kama haoni return. Swali kwa nini hizo fursa anazo ziona sasa ndani ya yanga asizitumie kwa sasa kama mwenyekiti bali anataka mpaka amiliki club?
Kwa maoni yangu, Kusema ana nia njema ni uongo uliotukuka. Ukweli ni kwamba ameona fursa na anataka kuitumia ili kujinufaisha... [HASHTAG]#fikichaAkili[/HASHTAG]