Sasa unatakiwa kuweka wazi interest rate ya nmb.kwa msaada zaidi waweza chek ms word 2013 wamekuwekea kabisa pale amortization sheet.
Nb.kadri mda wa marejesho unavokuwa mrefu ndivyo unavopata gharama kubwa za marejesho
Salaam wadau!Naomba kwa yeyote ajuaye anijuze nami namna kıası cha fedha ambacho mkopaji anatakıwa kurejesha bank km riba kwa kuzingatia muda wowote.Nimefuatilia kwa baadhı ya wafanyakazi wa bank, wengi wameonekana kutokujua kanuni ıtumikayo zaidi ya kudaı kuwa wameprogramu komputa zao ambazo huwapa mchanganuo wa marejesho ya mkopaji.Tafadhali naomba msaada wa kanuni inayotumika.
Tafuta interest ya NMD kisha tumia function ya PMT kwenye excel