Salaam wadau!Naomba kwa yeyote ajuaye anijuze nami namna kıası cha fedha ambacho mkopaji anatakıwa kurejesha bank km riba kwa kuzingatia muda wowote.Nimefuatilia kwa baadhı ya wafanyakazi wa bank, wengi wameonekana kutokujua kanuni ıtumikayo zaidi ya kudaı kuwa wameprogramu komputa zao ambazo huwapa mchanganuo wa marejesho ya mkopaji.Tafadhali naomba msaada wa kanuni inayotumika.