Ukoloni Mamboleo: Media za kenya zaonyesha Live Harusi ya Mjukuu wa Malkia Elizabeth

Mkuu Media za Tanzania hazionyeshi kwasababu ziko nyuma kimaendeleo ,hii harusi ya Price Harry and Meghan Markel takriban nchi zote duniani zinaonyesha LIVE,kumbuka Tanzania ndio nchi ya mwisho dunia wananchi wake kuona TV,Watanganyika wameanza kuona TV mwaka 1987..
Mtaongea yote
 
Hivi kuonesha harusi za malkia ndiyo kipimo cha maendeleo?
Kwa Taarifa yako China wala Russia hawakuonesha. Sasa niambie hao umewashinda kwa lipi.
achana na mitaahira hiyo,unyumbu unailemaza.
 
Nafikiri watu wa Asia hawana collective name kwa kiswahili

Nafikiri wanaitwa WaAsia au watu wa.Mashariki ya mbali
 
Hivi kuonesha harusi za malkia ndiyo kipimo cha maendeleo?
Kwa Taarifa yako China wala Russia hawakuonesha. Sasa niambie hao umewashinda kwa lipi.
Kuonyesha harusi ya Malkia ndio kipimo cha maendeleo,wanatuonyesha vipi binaadamu tunakiwa kuishi

Urusi,china huwezi kufanananisha na hali ya maisha ya nchi za Ulaya kimaendeleo..
 
Embu kwanza twende taratibu,
1. umewahi fika nchi hizo zote?
2. Umefika lini?
Ukijibu haya, ndiyo tuanze kuongea.
 
Hs
Embu kwanza twende taratibu,
1. umewahi fika nchi hizo zote?
2. Umefika lini?
Ukijibu haya, ndiyo tuanze kuongea.
Hahaha...matatizo ya Watanzania,tunafikiria sote tuko sawa kimaisha ..

Nchi ambayo nilipendezewa nayo,kimazingira,kimaendeleo,kimaisha ya watu wake ni Japan

Hakuna nchi nisiofika ,mkuu..
 
Hayo ni maoni yako. Ulaya imejengwa, lkn huwezi fananisha na Hong Kong, Dubai hata Singapore. Ulaya ba marekani ni museum tu.
 
anajua nini huyo bado ndio wale wana zile story za london kwa bibi[emoji1][emoji1][emoji1].
 
Hayo ni maoni yako. Ulaya imejengwa, lkn huwezi fananisha na Hong Kong, Dubai hata Singapore. Ulaya ba marekani ni museum tu.
Kwani maendeleo ni kujengwa tu,maendeleo ni mfumo wa maisha ya watu katika nchi husika..

Je unajua kama nchi za Ulaya ya Magharibi,hasa za Scandinavian watu wake wanalipwa kama hawana kazi

Mtoto akizaliwa analipwa mzazi pesa za kumlea mtoto..

Hospitali bure,kusoma bure nk..je Dubai,Hongkong na hizo nchi ulizozitaja wananchi wake wanapata huduma hizo?

Dubai,Hong Kong hizo nchi zote nimefika,maisha ya watu wake huwezi kufananisha maisha ya watu wa Ulaya
 
Bro usijaribu kunifundisha kitu, nchi hizo zote unazotaja nimesoma na kufanya kazi kwa kipindi kirefu sana. Nothing strange you will tell me. Welfare or well being ya nchi za Scandinavia zote ni nzuri kuliko UK, US na nchi nyingine nyingi. Bro nimezunguka nazo sana hizo Tunnelbana hapo T - Centrallen. Hivyo najua nacho ongea, huwezi linganisha maendeleo ya miundo mbinu ya Dubai, Hong Kong, Taiwan. Hata New York haioni ndani. Washington ndiyo usiseme kabisa.
 
Kwani Miundo mbinu ndio maendeleo ya watu?..

Dubai,Hongkong,Taiwan je raia wake wanaishi vipi,?

Je raia wa hizo nchi unaweza kufananisha na raia wa Scandinavian kimaisha?

Ethiopia imendelea ki miundo mbinu kuliko Ugiriki

Lakini tunawaona Wahabeshi wanakamatwa kama wahamiaji harama hapa Tanzania
 
Nenda kasome human development maana yake ni nini!!!
 
Mmmh,kwani human development maana yake ni kujenga miundo mbinu tu..?

Maisha bora,maisha marefu,uwezo wa binaadamu kupata mahitaji yake kirahisi,haki za binadamu,uhuru wa kuamua,security ,elimu...nk

Kama una wajengea watu highways lakini hawana uwezo na maarifa wa kuzitumia,..

Unawajengea watu skyscraper lakini hawana elimu,hawana cha kukila..

Hiyo inakuwa sio human development bali ni human ruination
 
Angalau sasa umeanza kuelewa maana ya human development. Hajikiti pekee kwenye human investment bali pia kwenye capital (infrastructure) investment.
 
Hahaha,nchi kama Denmark hakuna mabarabra ya kuzunguka,lakini wao ndio wanaongoza kutupa misaada

Naona unashindwa kutafautisha baina ya white elephants projects na human investments projects..

Kaka kama miuondo mbinu haina faida na raia basi haifai hiyo..
 
Hapo unaongea siasa, na si utalaam
 
Back
Top Bottom